CCM yapasuka ,Kinana an'gatuka adai kuachana na siasa uchwara za CCM
BongoNewz
Mjumbe wa Almashauri kuu na kamati kuu ya ccm captain Abdulharaman kianana amejiuzulu nafasi zota alizonazo ndani ya ccm kwa madai ya kuachana na siasa uchwara.
Kinana amedai kuachana na siasa uchwara zinazoendeshwa na Nape Nnauye akishirikiana na Chilagati na January makamba.kinana amekuwa mjumbe wa NEC kwa zaidi ya miaka 22 pia amewahi kuwa waziri wa ulinzi na jeshi la kujenga taifa.ktk barua yake ya kujiuzulu kinana pia ametaja kutofurahishwa najinsi JK na familia yakea inavyoendesha chama'' chama ni taasisi hauwezi ukaendesha chama kwa kutumia familia baba , mama na mtoto ,nimefanya kazi chini ya Nyerere ,mwinyi na mkapa hatukushirikisha familia zao'' hayo ni machache yaliyomo kwenye barua ya comrade Kinana
Jumatano ndio mambo yote baada ya NEC viongozi wengi wa CCm watahama. Swali, je wataenda wapi???? weka comments zako
Abdulrahman Kinana, alikuwa Campain manager wa JK 2010 |

0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII