BREAK NEWS: KIONGOZI WA UPINZANI NCHINI RWANDAAFUNGWA JELA MIAKA 8..SOMA ZAIDI HAPA

Kiongozi wa upinzani nchini Rwanda
Victoire Ingabire amehukumiwa miaka minane gerezani baada ya kupatikana
na hatia ya kosa la uhaini Viongozi wa mashtaka walitaka afungwe maisha jela kwa kutishia usalama wa nchi.
Mahakama imempata na hatia ya kupuuza mauaji ya Kimbari yaliyotokea mwaka 1994.
Ingabire hakuwa mahakamani wakati hukumu
ilipotolewa dhidi yake kwani amekuwa akisusia kuhudhuria vikao vya
kusikilizwa kwa kesi hiyo akisema imeshinikizwa ksiasa,.
Alikamatwa mwezi Aprili mwaka 2010 na kuzuiwa kushiriki uchaguzi uliofanyika mwaka huo.
0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII