RAY C AANZA NA YEYE TABIA MBAYA, TAZAMA PICHA ALIZOTUPIA MTANDAONI
 Mwanamuziki staa wa bongo fleva Rehema Chalamila a.k.a Ray C amepoteakatika  anga ya muziki kwa kipindi kirefu kutokana na matatizo ya matumizi ya  madawa ya kulevya na baada ya kupata tiba sasa mambo yanaonekana kurudi  katika hali yake ya kawaida.
Mwanamuziki staa wa bongo fleva Rehema Chalamila a.k.a Ray C amepoteakatika  anga ya muziki kwa kipindi kirefu kutokana na matatizo ya matumizi ya  madawa ya kulevya na baada ya kupata tiba sasa mambo yanaonekana kurudi  katika hali yake ya kawaida.Pamoja  na ukimya wake katika muziki, Ray C a.k.a kiuno bila mfupa sasa  anaonekana kuwa active zaidi katika mitandao ya kijamii hususan  Instagram. 
  Ray  C ameshare baadhi ya picha na fans wake kupitia instagram ambazo kwa  namna moja au nyingine zinaongea zenyewe (kwa kusindikizwa na captions)  juu ya maisha yake ya sasa.
   Kwa ufupi ni kuwa Rehema anakula bata tu sasa hivi, thanks kwa shavu alilopewa na Rais Jakaya Kikwete ambaye anamuita ‘Daddy’. 
  Take a look more pics inside….
  ********PICHA ZAIDI ZIKO HAPA, BOFYA HAPA SASA***********
 
 



 
 

 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
jamani rey dah
ReplyDelete