Naweza kusema baada ya kuzinduliwa huko London sasa jana movie hii
inayokwenda kwa jina la SKYFALL 007chini ya udhamini wa bei ya Heineken
ilizinduliwa rasmi hapa
Tzee century cinemax at mlimani city.
Team nzima ya
The weekend chart show
Vanessa Mdee na marafiki zake
Izzo B,B 12 na Perfect
A.Y na Madam Ritha
Sam Misago na mshikaji wake
Captain G .HaBash
Umetuonaaa!!!!
Nancy Sumary na Shaa
Tumetokelezeaaa!!!!!!
Dee Andy
Lady Haha na marafiki zake
Reuben ndege a.k.a Ncha kali akiwa na mdau mwenzake
0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII