TETESI: PENZI LA SHILOLE NA BARNABA LAREJEA....SHILOLE AFUNGUKA
BONGONEWZ BLOG
“Hivi karibuni wawili hao walionekana chobingo, Mbeya kwenye Tamasha la Serengeti Fiesta na hata Dar pale Leaders Club, walikuwa "close" nyuma ya jukwaa katika gari la Shilole,” alisema mpashaji wetu.
Akiongea na mtandao wa MPEKUZI, Shilole alifunguka:
KUNA
tetesi kuwa, penzi lililokuwa limekufa kati ya mwigizaji wa Bongo,
Zuwena Mohamed ‘Shilole’ na Mbongo Fleva, Elias Barnaba limerejea kwa
ari, nguvu na kasi mpya.
“Hivi karibuni wawili hao walionekana chobingo, Mbeya kwenye Tamasha la Serengeti Fiesta na hata Dar pale Leaders Club, walikuwa "close" nyuma ya jukwaa katika gari la Shilole,” alisema mpashaji wetu.

0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII