BAADA YA KUIBIWA GARI, SUMA LEE ASEMA ATAANZA KUPANDA DALADALA..
Msanii wa Bongo Fleva almaarufu kama Suma Lee anayekubalika na ngoma nzuri anazozitoa kwa mashabiki wake kama
Hakunanga,Chungwa,Utanikumbuka na nyinginezo mpaka kupelekea mashabiki wa hapa Tzee kumkubali katika tasnia hii ya muziki sasa kama unakumbuka wiki kadhaa zilizopita msanii huyu aliibiwa gari lake maeneo ya Coco Beach sasa
Latest info kutoka kwa msanii huyu asema kwamba kuanzia sasa ataanza rasmi kupanda Daladala baada ya kusema hivyo aliweza kufunguka na kutoa sababu na kusema kwamba maisha ni popote si lazima mtu au msanii achukue Bajaji au Tax usafiri ni usafiri tu.Hivyo ndivyo alivyoamua kutiririka baada ya kuweka wazi kwamba ataanza kupanda Daladala.
0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII