TASWIRA YA MITAA YA MJI WA DODOMA IKIWA INAFANYIWA UKARABATI
Barabara za katikati ya mitaa ya manispaa ya Dodoma zikiwa zinatengenezwa kwa kiwango cha Lami.
Wajasiriamali
wakiwa wameweka biashara zao kwenye moja ya mageti ya makao makuu ya
CCM,kipindi hiki cha mkutano mkuu kumekuwa na maongezeko ya mahitaji ya
bidhaa za chama bora Tanzania,hivyo kutoa fursa kwa wafanya biashara
wengi kuuza bidhaa za chama hicho.Picha na Adam Mzee-Dodoma
0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII