BREAKING NEWS: ASKOFU ALOYSIUS BALINA WA SHINYANGA AFARIKI DUNIA MUDA MFUPI ULIOPITA


Amefariki muda mfupi uliopita Bugando Hospitali.. RIP Askofu

 Bishop Aloysius Balina (former bishop for Shinyanga)

Aloysius Balina (amezaliwa 21 Juni, 1945) ni askofu Mkatoliki nchini Tanzania. Aliwekwa wakfu na Papa Yohane Paulo II mwaka wa 1984. Tangu 1997, ni askofu wa Jimbo la Shinyanga.


21 Jun 1945 Born - Isoso Village
27 Jun 1971 Ordained Priest - Priest of Shinyanga, Tanzania
8 Nov 1984 Appointed - Bishop of Geita, Tanzania
6 Jan 1985 Ordained Bishop - Bishop of Geita, Tanzania
8 Aug 1997 Appointed - Bishop of Shinyanga, Tanzania

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII

Copyright © 2013. ArtAfropixels Media.com - All Rights Reserved
Customized by: IT XPERTTZ ONE | Powered by: BS
Designed by: Tilabs