CHARITY WALK FUND RISING TO BE HELD ON SATURTDAY 17 NOV, 2012
Haya ni matembezi ya hisani yanayopangwa kufanyika kesho kwa ajili ya kuchangia ujenzi wa hostel kwenye shule zetu za sekondari. Matembezi hayo yataanzia Mlimani City mida ya saa Moja asubuhi na kumalizika saa tano asubuhi......Dont miss ili tuwasaidie watoto wetu kupata elimu bora na malazi bora pia...
0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII