HIZI NDIO PICHA ZA HOTEL, MAKAO MAKUU YA CCM PAMOJA NA UKUMBI WA MIKUTANO INAYOTARAJIWA KUJENGWA DODOMA
Picha zinazoonyesha Michoro ya Ukumbi,Ofisi za Makao makuu na Hotel ya nyota tano.
Rais wa Zanzibar Dk Ali Shein akiwasili eneo la Makulu kwenye sherehe za
uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa Ofisi za makao makuu, Ukumbi wa
Mikutano na Hotel ya Hadhi ya nyota tano muda mfupi ulipita.
0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII