HUYU NDIO TAJIRI WA TZ ALIEINGIA LIST YA MATAJIRI FORBES, HII NDIO PESA ANAYOMILIKI NA ANAYOINGIZA.
.
Jarida la Forbes ambalo mara
nyingi limekua likitoa ripoti za matajiri wa dunia na utajiri wao
limesema tajiri wa Tanzania Said salim Bakhresa ambae ameshika namba 30
kati ya matajiri 40 wa Afrika aliacha shule akiwa na umri wa miaka 14 na
kuanza kuuza potato mix baada ya hapo akafungua restaurant ndogo lakini
leo ameajiri zaidi ya watu elfu mbili kwenye kampuni yake.
Kampuni hii ndio kampuni inayoongoza kwa kutengeneza unga wa ngano Afrika Mashariki na kati ambapo kwa siku inatoa tani 3,200.
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Mh!jamaa anatisha
ReplyDelete