ILIKUWA NI SIKU SPECIAL SANA KWANGU.........

My dear, my everything Tatiana.....Hongera sana kwa hatua uliyoifikia


Haaaa, pendeza sana mamy.....

My Tatii and my beeeeest friend Alex Wilbrad..You are part of my life guys I real love u

Hakika ilikuwa ni siku yenye furaha sana kwangu kwa sababu watu wangu wa muhimu saaaana ndio walikuwa wanahitimu degree yao ya kwanza katika chuo kikuu cha St. John Dodoma.....Hongera sana my dear Tatii, finally you have accomplished the journey, ni safari iliyokuwa na changamoto nyingi sana ambazo kama huna moyo wa uvumilivu ni vigumu sana kuivuka....Nakupongeza kwa hili na nakuombea kwa Mungu akujalie mafanikio mengi zaidi katika kila ulifanyalo. Love you sana!!!

Chezea wewe....pozi la enzi hizooooooooo

Alex Wilbrad katika pooooz


Hongera pia my friend Alex Wilbrad, u are my best friend and Im really happy for you are achievements...hahahahahahaha. 
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII

Copyright © 2013. ArtAfropixels Media.com - All Rights Reserved
Customized by: IT XPERTTZ ONE | Powered by: BS
Designed by: Tilabs