KATIKA PICHA: NASSARI AHITIMISHA KAMPENI USA RIVER
Uchaguzi kwenye mitaa Tisa ya mamlaka ya mji mdogo Usa-River unafanyika leo. Kamanda Nassari jana alifanya mikutano mitano za kuhitimisha kampeni.
Akina mama kwenye mkutano wa chadema mji mdogo wa usa river
Mkutano wa ccm ulikuwa Kama kikao cha familia wakaleta watu kwa coaster moja na hiace mbili, wakaleta makada mbalimbali akiwemo Waziri Aggrey Mwanri kufunga kampeni.
0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII