KIPINDI KIPYA CHA LADY JAY DEE KUANZA JUMAPILI HIII
Mkurugenzi wa Machozi Band, Lady
Jaydee akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salalaam leo
wakati wa uzinduzi wa kipindi chake cha 'Diary Ya Lady Jaydee'
kitakachoanza kurushwa hewani kila siku ya Jumapili kupitia televisheni
ya EATV. Kushoto ni Mkuu wa Vipindi EATV, Lydia Igarabuza.
Mkuu
wa vipindi wa Televisheni ya EATV, Lydia Karabuza akifafanua jambo
wakati wa uzinduzi wa kipindi cha televisheni cha 'Diary Ya Lady Jaydee
kitakachoanza kurushwa hewani kuanzia Jumapili.
-------------------------------------------
Lady Jaydee akiongea na waandishi wa habari
Msanii nguli wa kike ambaye ana majina mengi kama Komando, Jide, Mama
Some food n. k leo asubuhi ameongea na waandishi wa habari na kutoa
taarifa rasmi kwenda kwa watanzania juu ya ujio wa kipindi chake kipya
cha TV kitakachoitwa “Diary ya Lady Jaydee”.Msanii huyo wa kike ambaye kwa sasa anatamba kwa hit song yake ya ya “ Mimi Ni Mimi” alisema kipindi hicho cha Diary ya Lady Jaydee kitazungumzia maisha yake kwa undani kikitazama mambo kama njia aliyopitia kufanikiwa, mahusuiano yake binafsi na mwandani wake pamoja na washkaji,wadau na ndugu jamaa na marafiki, ikiangalia pia namna alivyoweza na anavyokabiliana changamoto mbali mbali, mipango yake ya kimuziki, maisha na biashara.
Akiendelea Lidya alisema wao kama kituo namba moja cha TV kwa vijana wamechukua fursa ya kukubali kuonyesha kipindi hicho cha Diary ya Lady Jaydee kwa sababu Jaydee msanii mkubwa tu Tanzania bali Afrika Mashariki na Afrika kwa ujumla na hivyo kwa sababu ana mashabiki wengi ni faraja kubwa kwa kituo hicho kuongeza idadi ya watazamaji ambao ni wapenzi wa msanii huyo.
Akimalizia mkuu huyo wa vipindi alisema kipindi hicho kitakuwa na episode 52 kwa maana kipindi kimoja kwa wiki kwa mwaka mzima hivyo kuwataka watazamaji wa TV hiyo kukaa mkao wa kula wakisubiri kuona ni nini kitaonekana kuanzia jumapili hii.
Everything seems to have a slightly bluish tinge to it, most noticeable when you're looking at light grey areas. Even so, several average well-known options of their software are: listening to stay phone calls, notification for Sim modifications, locale checking with Worldwide positioning system, accessibility to emails dispatched and received by way of the i - Phone, view phone documents background and other specifics of inbound and outbound phone calls are the attributes that are preferred in most i - Phone spy applications from distinctive makers. With built-in Adobe Flash support and a great browser, my children have complete access to their documents, calendars, email, and entertainment.
ReplyDeleteFeel free to surf to my homepage - samsung chromebook review