LORD EYES AFUNGUKA LEO KUHUSIANA NA TUHUMA ZINAZOMKABILI......SOMA ZAIDI HAPA
Msanii Lord Eyes na mwanasheria wake Peter Kibatala wakiwa Double View ambapo walizungumza na waandishi wa habari
Msemaji wa kundi la WEUSI Nikki wa Pili,Mwanasheria,Lord Eyes na G Warawara
Mwanasheria akitoa ufafanuzi
Wakili wa Lord Eyes leo ametoa ufanunuzi kuhusu tukio lililotokea la
msanii huyo kuhusishwa na wizi wa vifaa vya kwenye gari.Wakili huyo
alisema kua dhumuni la kuwaita waandishi wa habari leo ni kutaka Jamii
itoe nafasi kwa vyombo vya sheria kutoa majibu juu ya tuhuma hizo baada
ya hapo ndo waanze kuongea.Sahivi kinachoendelea ni habari ambazo watu
hawana uhakika nazo.Wakili huyo alisema kuwa Lord Eyes hana hatia hadi
pale vyombo vya sheria vitakaposema kuwa msanii huyo kweli anahusika na
shutuma hizo za uwizi.Kwa upande wa Lord Eyes amesema kuwa watu wanajua
kuwa yeye ni mwanamuziki kwa muda wote na hajihusishi na maswala ya
uwizi na ameomba mashabiki wavumilie kipindi hichi ambacho anapigania
haki na ukweli utajulikana
SOURCE: ANAPITA
0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII