MBUNGE WA CCM AMWACHIA LAANA MWANAE BAADA YA KUONA PICHA ZAKE CHAFU MAGAZETINI
Binti alipofumaniwa
--------------------
--------------------
KATIKA hali inayoonekana ni kukerwa na kitendo cha bintiye Naima Shah
kuonekana kwenye magazeti akiwa katika picha chafu, Mbunge wa CCM amemtoa mwanawe huyo kwenye orodha ya warithi wake endapo
atatangulia mbele za haki.
Akizungumza na mwandisi wa Mpekuzi juzikati jijini Dar, binti huyo alikiri kuwa
baba yake alikerwa na picha zake na kusema hahitaji hata
kumwona, akifa asifike kushuhudia mazishi yake na kwenye mirathi hayumo.
Binti alipofumaniwa
------------------------------
“Nimeumia sana kwa kauli alizonitolea baba, sikutegemea kama hali hii ingefikia huko. Kinachoniuma zaidi, si kurithi mali zake bali kitendo cha kukosa radhi yake.
Binti alipofumaniwa
------------------------------
“Nimeumia sana kwa kauli alizonitolea baba, sikutegemea kama hali hii ingefikia huko. Kinachoniuma zaidi, si kurithi mali zake bali kitendo cha kukosa radhi yake.
“Hivi ninavyoongea na wewe mwandishi, baba hataki kuniona machoni au kunisikia, naomba nitumie nafasi hii kuomba radhi kwenye familia yangu pamoja na upande wa mume wangu kwani nakiri sikutenda haki,” alisema Naima ambaye anaonekana kwenye video ya Wimbo wa Mbagala wa msanii Diamond.
Ijumaa iliyopita, gazeti moja la udaku lilitoka na habari ya Naima ikiwa na kichwa kisemacho: UFUSKA ikiambatana na picha chafu za binti huyo ambaye pia ni mke wa mtoto wa mfanyabiashara maarufu nchini.
0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII