Juma
mosi ya kesho ndio siku ambayo wakazi wa Dodoma waliyokuwa wanaisuburi
kwa hamu kubwa sana ambapo ni uzinduzi wa Magic Fm pamoja na DTV Tour na
pia kutakuwa na wasanii zaidi ya 9 watgakaopanda kwenye staji moja
ndani ya viwanja vya jamuhuri Dodoma kuanzia saa 3 na kuendelea. |
0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII