TAZAMA PICHA ZA AJALI ILIYOMUUA SHARO MILLIONEA...
Tanzania has lost another irreplaceable talent, Gone too soon. R.I.P Sharo Milionea
Hivi ndivyo
linavyo onekana gari aina ya Toyota Harrier alilokuwa anaendesha
marehem Ramadhan Hassan aka Sharo Milionea mara baada ya kupata nalo
ajali na kusababisha kifo chake.
Hivi ndivyo gari hilo inassemekana linavyo onekana kwa mbele
(naomba mtuwie radhi imebidii tuondoe ile picha ya text maana inaelekea kuna mtu kaamua kujifurahishia na ujitunguia sms ionekane alikuwa anachat na marehemu lakini alikosea mda maana mda ulioweka tayari ndugu yetu alikuwa amesha angulia mbele za haki)

---
YANAYOJIRI KWENYE MSIBA WA SHARO MILLIONEA:
Hali ya mzee King Majuto presha imepanda na hali kuzidi kuwa mbaya kutokana na kupata taarifa za msiba wa Sharo Milionea.
Mjomba
wa marehemu Sharo Millionea, Bwana Omary Fundikira asema marehemu
anatarajiwa kuzikwa siku ya kesho, Jumatano. Hii ni kutokana na msanii
mwenzake John Maganga kuzikwa leo.
Mkuu
wa polisi mkoa wa Tanga RPC Costantine Massawe asema Hussein Ramadhani
(Sharo Milionea) alikuwa mwenyewe katika gari na ilipotokea ajali gari
lilimrusha nje na kufariki hapohapo.
Pia
rafiki wa marehemu bwana Mohamed Ismail ambaye ndiye aliyemuazimisha
gari alilopata nalo ajali, asema ilitakiwa waongozane kwenda Tanga
pamoja ila alishindwa maana alipata majukumu mengine.
0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII