Baadhi
ya wanachama wa Simba leo hii wameandama mpaka kwenye makao makuu ya
klabu hiyo wakiwa na mabango yaliyokuwa yakiwataka makamu mwenyekiti wa
Simba Godfrey Kaburu na Nahodha wa timu hiyo Juma Kaseja kuachia nafasi
kwenye timu kwa madai ya kuihujumu timu na kupata matokeo mabaya. |
0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII