NURU THE LIGHT ATOA WITO WA KUMSAIDIA "RAY C" KUTOKANA NA HALI ALIYONAYO
Wakati kila mmoja anayemfamu Ray C anaonekana kusikitishwa na hali
aliyonayo sasa kutokana na matumizi ya madawa wa kulevya, msanii wa kike
aishiye barani Ulaya, Nuru the Light amesema huu si muda wa
kunyoosheana vidole bali kumsaidia tu Ray C arudi kwenye hali yake.
Kupitia blog yaKE Nuru ameandika:
Kupitia blog yaKE Nuru ameandika:
"I have worked with people who have been the victims of drugs so I
know what she is going through right now. shes not going through it by
herself but also the members of her family as well and that is the bad
thing about drugs it is the shame that comes with it.
Tanzania as of now hatuna rehab nzuri sidhani ambayo itakayoweza
kumsaidia Rehema ila you never know but i do hope with all my body and
soul kuwa hatutakiwi kupoint fingers kwa anyone bali tunatakiwa
kumsupport na kumsaidia Rehema.
In life you don’t know what tomorrow
holds but we all hope for the best not only within ourselves but also
for our loved ones.
This is a disease na narudia tena huu ni ugonjwa kama vile malaria
and needs to be treated ili aweze kuendelea kuishi maisha yake maana
sasa hivi issue ni kukomboa maisha yake.
I pray for you Rehema and I love you and this is not going to be
easy,this will be one of the hardest things you will go through but i
know that you can do it,huwa tunasema Mungu hakupi mzigo usioweza
kuubeba na huu ni mtihani ila with God and the love of your mother na
wengineo you will get through this!!!".......NURU THE LIGHT
0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII