RWAKATARE AKAMTWA NA KUPELEKWA MAKAO MAKUU YA POLISI, NI BAADA YA VIDEO INAYOHUSISHWA NA MIKAKATI YA KUMJERUHI ABSALOM KIBANDA KUVUJA
Wilfred Lwakatare ameitwa Makao Makuu ya Polisi sasa hivi kwa mahojiano na jeshi hilo kufuatia video clip iliyowekwa mitandaoni ikionesha jinsi alivyokuwa akipanga mbinu za utekaji....
WILLIFRED LWAKATARE NI MKURUGENZI WA ULINZI NA USALAMA WA CHADEMA...
Kwa taarifa ni kuwa atawakilishwa na wakili Nyaronyo Kicheere na baadaye kama
watafungua kesi watakuwa na Mabere Marando.
VIDEO INAYOHUSISHWA NA MIKAKATI YA UTEKAJI NA KUJERUHI KWA ABSALOM KIBANDA NDIO HII HAPA
0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII