Huyu ni paparazi aliyekuwa kazini akifanya yake, mara ghafla akatokea chui kwa nyuma yake bila yeye kujua na kuanza kumlamba kichwani. Je wewe ndio ungekuwa paparazi huyu ungefanyaje???? Toa maoni yako na ufanye kushare na washkaji wako usikie maoni yao....
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
duh
ReplyDelete