TAZAMA PICHA ZA SHOO YA DIAMOND, BUKOBA AKIWA NA KANGA MOKO...DU!! NI BALAA
| Taratibu....Mdogo mdogo kusongesha mzigo...!! |
| Love ilitawala kwa mashabiki kufikia mimi kuvutwa chini na mashabiki ukumbini humo...!! kweli mashabiki wa BUKOBA walikuwa na mizuka...!! |
| Mikono Juu......wotee wotee....!! |
| Camera Man na mashabiki awakuwa nyuma kupiga picha za ukumbusho mahana historia mpya iliwekwa ndani ya jiji la wahaya.....!! |
| kwenye show viuno mbele mbele...... aghaaa mule mule...!! |
| Mambo ya kanga moja laki si pesa.....walikuwemo pia....!! |
| KITU ndembe ndembe...kanga mpya ailoi maji...... !! kit6u ndembe ndembe....!! |
| kitu mwake waacha weeee....agha ghaaaaaaaa .......laki si pesa milioni pocketman...!! |

0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII