MBUNGE WA ARUSHA MH GODBLESS LEMA ATEMBELEA KANISA LILILORIPULIWA HUKO ARUSHA.....SOMA ALICHOKISEMA HAPA
Godbless Lema ambaye ni mbunge wa arusha ametembelea eneo la kanisa lililolipuliwa na kuwafariji wahanga wa tukio hilo.....
 Akiongea   kwa  jazba  na  hasira  na  wanachi  waliopo  eneo  la  tukio,Lema   ameitumu  serikali  kwa  mara  nyingine  na  kudai  kuwa  uzembe  wa   viongozi  ndo  chanzo  cha  matukio  kama  haya....
Hotuba   fupi  na  nasaha  zake  zilikuwa  zikisikika  moja  kwa  moja  kupitia   Radio  maria   kabla ya  kituo  hicho  kuamua  kukatisha  nasaha   zake.....
Haijafahamika  mara  moja  sababu  za  kukatishwa  kwa  hotuba  yake ...
Bado tunasubiri  taarifa  rasmi  ya  vyombo  vya  ulinzi  na  usalama  kuhusiana  na  tukio  hili
 
 

 
 

 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII