PICHA ZA VIDEO MPYA YA DIAMOND ALIYOSHOOT AFRIKA KUSINI....BOFYA HAPA
Diamond anatarajia kutengeneza tena vichwa vya habari pale atakapoachia 
video ya wimbo mpya ‘Number 1′ aliyoshoot mwezi huu nchini Afrika 
Kusini. Video hiyo ambayo Diamond anasemekana kutumia zaidi ya shilingi 
milioni 50 kuikamilisha, imetengenezwa na kampuni ya Ogopa Videos ya 
nchini Kenya. Hizi ni screenshots exclusive walizopata bongo5

























 CHANZO : BONGO5
CHANZO : BONGO5

























 CHANZO : BONGO5
CHANZO : BONGO5 
 
 
 

 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII