KAMA HUKUTAZAMA PICHA ZA KILICHOJIRI JANA KATIKA MKUTANO MKUUBWA WA CHADEMA, NCCR, NA CUF HAPO JANA, ZICHEKI HAPA
Viongozi wa upinzani wakishikana mikono kuonyesha mshikamano wakati wa mkutano wa hadhara wa kutafuta katiba mpya.
Viongozi
wa upinzani kutoka kushoto: Emmanuel Makaidi (NLD), James Mbatia
(NCCR-Mageuzi), Freeman Mbowe (Chadema) na Profesa Ibrahim Lipumba (CUF)
wakiwa katika mkutano wa kudai mchakato huru wa katiba mpya.
(Picha : Chande Abdallah, Haruni Sanchawa na Mayasa Mariwata / GPL)
0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII