DR CHENI AMPA SHAVU MCHINA KATIKA MOVIE YAKE, MCHINA ASEMA BIASHARA NGUMU BORA AIGIZE...BOFYA HAPA
Baada ya kumuingiza shabiki maarufu wa yanga
football club “Steven” sasa Dr Cheni afanya mabadiliko makubwa ya bongo
movie baada ya kumuweka mchina kwenye movie yake mpya.
Moja ya scenes ambazo mchina huyo amecheza ni sehemu ambayo amefumaniwa akiwa Guest.
Tuliamua kumtafuta Mchina huyo Mr. Chaoxiang Deming ( 朝翔 德明 ) kujua kwanini kwanini amemua kujiingiza kwenye tasnia ya filamu nchini na alidai kuwa kwa sasa biashara imekuwa ngumu kidogo hivyo sio mbaya akajaribu kufanya mambo mawili matatu kuongeza kipato
Tazama scene hiyo alizoigiza mchina huyo AKIWA AMEFUMANIWA GESTI

0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII