DUUH!!! HUU NDIO USALITI ALIOUFANYA ZITTO KABWE KWA CHADEMA...APOKEA MABILIONI YA PESA ILI KUKISALITI CHAMA
RIPOTI YA SIRI JUU YA ZITTO KABWE 
 KWA
 CHADEMA
 UCHUNGUZI WA MWENENDO WA KISIASA WA ZITTO Z. KABWE NDANI NA NJE YA CHADEMA.
 UTANGULIZI:Tangu  mwaka 2008 mwenendo wa kisiasa wa Zitto Zuber Kabwe ulianza kutiliwa  shaka na wanachama wa CHADEMA ndani na nje ya chama, Hili lilipelekea  kuibuka maneno ya chini kwa chini kuwa anakisaliti chama.
Hilo liliilazimu timu ya kijasusi ya chama kuanza kufuatilia nyendo zake kwa ukaribu zaidi usiku na mchana ili kujiridhisha pasipo kuacha chembe ya mashaka. Ifahamike kuwa chama kina idara ya ulinzi na usalama wa chama na viongozi wake yenye uwezo wa kufuatilia nyendo za majasusi wa nje na viongozi na wanachama wake popote walipo kwa masaa 24. Baada ya kujiridhisha kuwa mwenendo wake ni wa mashaka, bila kusita timu ya ujasusi ilianza kazi rasmi ya ujasusi dhidi ya nyendo zote za Zitto Zuberi Kabwe
 Hilo liliilazimu timu ya kijasusi ya chama kuanza kufuatilia nyendo zake kwa ukaribu zaidi usiku na mchana ili kujiridhisha pasipo kuacha chembe ya mashaka. Ifahamike kuwa chama kina idara ya ulinzi na usalama wa chama na viongozi wake yenye uwezo wa kufuatilia nyendo za majasusi wa nje na viongozi na wanachama wake popote walipo kwa masaa 24. Baada ya kujiridhisha kuwa mwenendo wake ni wa mashaka, bila kusita timu ya ujasusi ilianza kazi rasmi ya ujasusi dhidi ya nyendo zote za Zitto Zuberi Kabwe
MAMBO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI DHIDI YA ZITTO KABWE.
  Kumfuatilia yeye binafsi nyendo zake.
Kufuatilia mawasiliano yake ya simu.
Kufuatilia mawasiliano yake ya barua pepe.
Kufuatilia pato lake nje ya kazi zake halali za kibunge.
  Kufuatilia mawasiliano yake ya simu.
Kufuatilia mawasiliano yake ya barua pepe.
Kufuatilia pato lake nje ya kazi zake halali za kibunge.
SEHEMU YA KWANZA 2008
  Chombo chetu cha ujasusi tulichokipandikiza kwa siri katika nyendo zote  za Zitto Kabwe na ndani ya vikao vya mwanzo kabisa vya Zitto na viongozi  serikalini, nahata vile vikao muhimu  vya idara ya ujasusi ya chama cha  mapinduzi (ccm), kinatupa fursa ya kuweka msingi wa kuimarisha chama  cha CHADEMA na kutenda haki kidemokrasia kwa maslahi ya chama na Taifa  kwa ujumla:
  Mnamo Jumatatu ya tarehe 16/6/2008 saa 09:46 asubuhi, Mh Zitto Kabwe kupitia simu yake ya kiganjani namba +255754787550 alipokea simu kutoka kwa Ramadhani Ighondu mwenye namba +255717760473 ambaye  ni afisa Usalama wa Taifa anayefanya kazi ikulu hivi sasa.  Alijitambulisha kuwa yeye ni Usalama wa Taifa  ametumwa na mkuu wake wa  kazi aje aongee na Zitto, Maelezo ya msingi katika simu hii ilikuwa ni  bwana Ramadhani Ighondu kuomba miadi ya kuonana kutokana na agizo la  mkuu wake wa kazi.
  Siku sita baadae yaani Jumatatu ya tarehe 23/6/2008 saa 07:52 asubuhi,  Zitto alipigiwa tena simu na Ramadhani Ighondu akimkumbusha maongezi yao  waliyo fanya siku 6 zilizopita na kumuomba siku hiyo jioni waonane,  ingawa Zitto alionekana kusita kidogo lakini baadae alikubali,  Walikubaliana wakutane Sea Cliff  Hotel, ilipofika jioni ya siku hiyo  Zitto akiwa na marafiki zake wawili Omar Lyasa na Abdalah Said walifika  Sea Cliff Hotel wakaketi na kuagiza vinywaji, Baada ya kama dakika kumi  hivi Zitto alipokea simu ikimuelekeza alipo bwana Ramadhani Ighondu  kisha Zitto akawaambia marafiki zake wamsubiri kidogo, akaondoka  kuelekea aliko elekezwa…..
  Mashariki mwa lango kuu la kuingilia Sea Cliff Hotel mita kama tatu tu  kuna mlango mdogo unaoelekea kwenye vyumba maalumu (VIP), chumba namba 8  ndicho Zitto alichokuwa anaelekezwa kwa simu kuingia, chumba hiki kina  meza moja na sofa zilizo zunguka meza ile zenye uwezo wakukaliwa na watu  watano hadi sita, Ndani ya chumba kile Zitto anakutana na watu watatu  ambao ni  Steven Wasira, Ramadhani Ighondu na Abdalla Punja (hawa wote  ni TISS)
  Mazungumzo yao ndani ya chumba hiki yalianza maramoja, akianza Mr  Ighondu kueleza sababu za wao kumuita Zitto, kikubwa ilikuwa ni “bwana  Zitto, serikali (ikulu) inakutaka uache kuibana na kuishurutisha hasa  kwa hili suala la Buzwagi”. Tunaomba kujua shida yako kubwa ni nini?” Ighondu alihoji, Katika majibu yake Zitto anajibu,  “Mimi napigania haki za watanzania, nimechaguliwa na wanakigoma na watanzania wameniamini ni wawakilishe hivyo”, Lakini mashambulizi ya ushawishi yalipozidi Zitto alilegeza msimamo wake.
  Katika kikao hiki kilichochukua masaa mawili, Zitto anaonekana kusita  sana na anaomba apewe muda akafikirie aliyoitiwa, wote wanaafiki na  kukubali ombi la Zitto na kikao kinaahirishwa.
  Siku tatu tu baada ya kikao cha Hotel ya  Sea Cliff, yaani tarehe  27/6/2008 Zitto anakutana na Naibu Mkurugenzi wa TISS Ndugu Jack Zoka  jijini Arusha, hiki sio kikao chao maalumu bali wamekutana  kwa mara ya  kwanza wote wakiwa kwenye shughuli za kitaifa, Katika mazungumzo yao  wanaonekana ni watu wanaofahamiana japo si kwa undani, Baada ya maongezi  ya dakika kadhaa wakiwa wamesimama, Mr Zoka alimuuliza “Vipi vijana wangu walikupa ujumbe, umefikia wapi?” Zitto aliitikia kwa kucheka na kusema “yap nipo tayari, lakini nihakikishieni usalama wangu” Katika maongezi haya, Zoka anasikika akisema“Ondoa shaka” Kisha  Mr Zoka anamuagiza Zitto kuwa kesho kutwa yake aende kwa Charles Kimei  (Mkurugenzi CRDB Benki) pale Makao makuu, atayakuta maagizo yake huko.
  Tarehe 30/6/2008 majira ya saa 12:22 za alasiri, Zitto akiwa ameongozana  na kijana mmoja aliyetambuliwa kwa jina la Rajabu Abdala anaingia eneo  la CRDB Benki mtaa wa Azikiwe, na kwenda moja kwamoja kuonana na Bw  Kimei, baada ya salamu haikuchukua muda mrefu, Zitto akapelekwa katika  moja ya vyumba maalumu vya bank hiyo kwenye jengo hilohilo la Azikiwe,  baada ya kufika katika chumba hicho Zitto alihamaki kuwakuta watu wawili  katika chumba hicho, mmoja alikuwa ni mfanyakazi wa bank hiyo  aliyetambuliwa kwa jina la Maselina K. Kombe na mwingine hakuwa mgeni  machoni mwa Zitto, alikuwa ni Ramadhani Ighondu yule wa TISS waliyekuwa  naye kwenye kikao cha awali kule Sea Cliff  Hotel wiki chache  zilizopita, Zitto alikabidhiwa Briefcase nyekundu iliyokuwa imesheheni  pesa halali za kitanzania kiasi cha Shilingi milioni 250.
  Wakati hayo yakitendeka yule kijana aliyekuja na Zitto alikuwa kwenye  gari aina ya Toyota Mark 11 No T 134 AAB yenye rangi nyeupe na vioo  vyeusi (Tinted). Baada ya makabidhiano yaliyochukua kama dakika 10 tu,  Mr Ighondu alimwambia Zitto, “tunataka utulivu, mengi mazuri yanakuja utafurahia kijana,” Na kisha Zitto akatoka na begi lake (Briefcase) na kuingia nalo katiga gari ile na kutokomea.
  Uchunguzi umeonyesha kuwa pesa ile aliyokabidhiwa ndugu Zitto, ilitoka katika akaunti Namba 0J56708968923 yenye  jina la Shani Maya, ambapo inaonyesha kuwa akaunti hii ilifunguliwa  CRDB tawi la azikiwe tarehe 25/6/2008 saa 10:14 asubuhi, kisha tarehe  27/6/2008 iliingizwa kiasi cha pesa za kitanzania milioni 400. Na tarehe  30/6/2008 pesa hizo zilitolewa zote na akaunti hii ilifungwa. Madhumuni  ya pesa hii kutoka CRDB kwenda kwa Zitto yanathibitishwa na kikao cha  23/6/2008 pale Hotel ya Sea Cliff kuwa ni kupunguza kasi ya Zitto  kuibana serikali hasa anapo kuwa bungeni. Na kweli kasi yake  iliyozoeleka kwenye kuibana serikali akiwa bungeni ikapungua na kuweka  msingi wa ujenzi wa mashaka juu ya mwenendo wake wa kibunge.
 SEHEMU YA PILI 2009
  Mnamo Jumatatu ya tarehe 30/11/2009 saa 04:30 asuhuhi wakati wa  maandalizi ya uchaguzi wa  mkuu wa 2010,  idara ya ujasusi ya ccm  ilikutana kwa siri pale Moven Pick/SERENA Hotel, ndani ya idara hii  wakiwamo Jack Zoka, Wilson Mkama, Kingunge Ngombale Mwiru, Jakaya  Kikwete, Nape Nnauye, Fred Kimati, Steven Wasira, Ramadhani Ighondu,  Martin Palakyo, Mwigulu Nchemba, Ahamed Msangi na Abdalla Punja. Katika  kikao hiki yalijadiliwa mengi sana, lakini kubwa lilikuwa nikukabiliana  na vyama vya upinzani hususani  CHADEMA,  zilipangwa mbinu nyingi sana  juu ya Chadema,  Mbinu hizo ni kama ifuatavyo:
  Kuwanunua wagombea ubunge na Udiwani (Mtakumbuka wagombea wetu kadhaa walikuja kununuliwa na chama kina ushahidi kwenye hili).
Kuwanunua VIONGOZI wajuu wa CHADEMA.
Kutumia TISS kutisha wagombea na wanachama wa Chadema (Hii ilikuwa ni kuwakamata au kuvuruga mikutano).
Kuwaua baadhi ya wafuasi wa Chadema, viongozi wa Chadema na wabunge.
 Kuwanunua VIONGOZI wajuu wa CHADEMA.
Kutumia TISS kutisha wagombea na wanachama wa Chadema (Hii ilikuwa ni kuwakamata au kuvuruga mikutano).
Kuwaua baadhi ya wafuasi wa Chadema, viongozi wa Chadema na wabunge.
 Lakini walitilia mkazo zaidi njia ya kwanza ,ya pili na ya tatu ambapo  kikao kilijiridhisha kuwa mmoja wa VIONGOZI wa Chadema ambae ni Zitto  Kabwe ni mtu wao ambaye wamesha anza kumtumia, kikubwa liandaliwe fungu  tu kwa ajili yakuanza mikakati yao, Waliafikiana mambo mengi kwaajili ya  uchaguzi wa mwaka ambao ungefuata, na wakakubaliana mambo kadhaa ambayo  walimuagiza Mr Zoka akamwambie Zitto nini cha kufanya ili kupunguza  nguvu ya upinzani.
  Kwa upande wake Zoka alikiambia kikao kuwa Zitto amemthibitishia kuwa  yeye anawafuasi wakutosha ndani ya chama ambapo watamuunga mkono kwa  lolote hivyo kikubwa ni pesa tu. Lakini kwanza kikao hicho kilimtaka Mr  Zoka amwambie Zitto kuwa taarifa zote zinazoihusu Chadema na za kila  vikao vya ndani vya chama zinatakiwa pia ziifikie timu hiyo ya kijasusi  ya ccm, pili walitaka Zitto apunguze ushiriki katika majukwaa ya chama  na shughuli nyingine za chama. Baada ya kikao sasa ulikuwa ni  utekelezwaji wa maadhimio yao.
   Zoezi la kikao cha tarehe 30/11/2009 linaonyesha kuzaa matunda hasa  baada ya kubainika mawasiliano ya karibu sana kati ya Zitto na Jack  Zoka,  Kwamfano: Jumamosi ya tarehe 6/12/2009 saa 03:43 asubuhi Zoka  kupitia namba yake ya simu +255756809535alimpigia simu Zitto kupitia simu yake ya kiganjani ambayo ni +255754787550, wakati  wa mawasiliano yao haya ya simu Zitto alikuwa Tabata na maongezi yao  yalihusu kikao cha 30/11/2009 na kile walichoamua timu ya kijasusi ya  chama (ccm) na matakwa yao kwa Zitto. Ndani ya maongezi yao yaliyochukua  dakika 68, Zitto anasema, “Mr kazi hii ni nzito, vipi mmeongeza hela? Isije kuwa kama ile ya mwaka jana.” Anajibiwa na Zoka kuwa“ondoa shaka una dili na Jamhuri, hela sio tatizo”
  Lakini zaidi Zitto anamshauri bwana Zoka kuwa utaratibu wa uchukuaji wa pesa ubadilike, “Mr  Jack ile staili ya uchukuaji pesa kule CRDB mwaka jana ilinitisha  kidogo halafu hii isije ikabumburuka vyombo vya habari vipo makini kweli  sasa hivi” Anajibiwa na Bwana Zoka kuwa “Tunazo  njia nyingi sana ambazo si TAKUKURU wala polisi wanaoweza kubaini,  tusikilize sisi, tutakacho kuambia ujue ni salama, Haya Mr (Zitto) wewe  unayajua mazingira vizuri katika nchi moja ya Ulaya?, au unaweza  kutafuta mtu unae mwamini huko ili atumiwe yeye hiyo pesa na awe wa  kuaminika ili tumtumie kwa vipindi hivi vyote, kisha uifuate huko au  uangalie mwenyewe njia sahihi ya kuichukua huko”  Suala la kumpata  mtu Ulaya lilionekana kama zito kidogo kwa Zitto, kwani aliomba  wawasiliane kesho yake ili awe na jibu la uhakika.
  Tarehe hiyo hiyo 6/12/2009 ya Jumamosi saaa 23:05 usiku, Zitto kupitia simu yake ya mkononi namba  +255754787550, alipiga namba +4915739444853, kimaongezi  walionekana ni watu wanafahamiana sana, alikuwa anaongea na mwanamke  ,waliongea mengi lakini kubwa lilikuwa ni Zitto kuomba kupitisha hela  yake kwenye akaunti ya huyu mtu. Mwanamke huyu alihoji kama pesa hiyo ni  nyingi na haina madhara? Lakini alijbiwa sio nyingi na haina madhara  kwakuwa inatoka serikalini na chama tawala, Mwanamke huyo alizidi kuhoji  zaidi, “sasa vyombo vya dola vya hapa Berlin vikinihoji nitasema nimepata wapi?”  Anajibiwa kuwa “Darling   huniamini? Nimesoma na wewe na nimefanya kazi  na wewe, lakini  huniamini? Utasema umelipwa nchini Tanzania kwa kazi yako”,  kisha katika maongezi ya hapa na pale dada akakubali na baada ya dakika kumi akamtumia akaunti namba 033B 33093101 Berliner Bank German.
  Baada ya kuipata akaunti hii Zitto hakuchelewa, akaipeleka kwa Mr Zoka  kwa njia ya ujumbe wa maandishi (sms), baada ya dakika 5, Zoka akampigia  simu Zitto kupitia namba+255756809535 nae Zitto akapokea kupitia namba +255754787550, na mazungumzo yao yaliyochukua dakika 6 yakaendelea,  Zoka aliuliza swali kuwa “Mwenye akaunti hiyo huko Ujerumani unamwamini na unamjua vema?” Majibu ya Zitto yalikuwa “Ondoa  shaka Mr Jack nafanya kazi ya hatari na wewe , siwezi kukuangusha au  kujiangamiza, huyu mtu nimesoma nae na ninamfahamu in and out” Zoka akajibu “ok”.
  Jumatano ya tarehe 16/12/2009 majira ya saa 13:12 za mchana kwa Ujerumani akaunti namba 033B 33093101 Berliner Bank, ziliingizwa dola za kimarekani 266,000 pesa  hizi katika uchunguzi zimebainika kuwa zilitoka Tanzania katika Benki  ya NMB tawi la NMB House jiji Dar katika akaunti namba 2231604658 yenye jina la TSA, hii  ni moja ya akaunti za siri za TISS, ambapo wao ndio huzisimamia akaunti  zao zote kwa kutumia mawakala (TISS) walio ndani ya benki hiyo.
  Kujiridhisha kuwa pesa hiyo ilifika Ujerumani, kunabainishwa na  mawasiliano ya barua pepe kati ya Zitto Kabwe na  yule mwanamke wa  kijerumani aliyemtumia akaunti ya benki, anafahamika kwa jina la Andrea Cordes, mawasiliano yaliyofanywa tarehe 17 alhamisi saa 20:34 usiku ambapo Andrea kupitia barua pepe yake acodes@gmail.com anamwandikia Zitto kupitia barua pepe ya Zitto iitwayo zittokabwe@gmail.com ,  Andea anasema “Hey sweet, mzigo yako imefika, can we talk?”  Ujumbe huu unajibiwa na Zitto saa 21:03 usiku huo kwakusema, “I’m so sorry my darling, nimechelewa kukujibu, I will call you soon”
  Saa 23:23 Zitto Kabwe kupitia simu yake ya kiganjani namba  +255754787550, alimpiga Andrea Codes kupitia namba +4915739444853, akimweleza  kuwa anashukuru kwa mzigo kumfikia, lakini anataka kumpa utaratibu wa  kuichukua hiyo pesa, ambapo alimweleza kuwa atakuwa anaichukua kidogo  kidogo kila mwezi kwa njia ya Western Union kuanzia dola 20,000 hadi  dola 50,000, wakati huo Andea Codes atakula kamisheni ya dola 25,000.
  Uchunguzi wa ndani umebaini pesa hiyo  ilitumwa kwa Zitto ndani ya miezi  8 kwa vipindi tofauti kupitia Western Union kama alivyoomba, na alikuwa  anachukulia maeneo tofauti tofauti hapa jijini Dar, vilevile uchunguzi  umebaini kuwa mwanamke huyu ni Mjerumani aliyewahi kuishi Tanzania na  amezaa mtoto mmoja hapa Tanzania,  Mwanamke huyu anaitwa Andrea Cordes,  anaishi Mechernich Ujerumani, mtaa namba 134, nyumba namba 141,   anafanya kazi UN Women Nationales Komitee Deutschland e.V.  Shirika  ambalo shughuli zake huendeshea pia Tanzania. Katika uchunguzi zaidi  imebainika kuwa akaunti aliyomtumia Zitto ni ya kwake binafsi, katika  ushahidi tuliobaini kupitia  benki iitwayoBerliner Bank yenye Code No Hardenbergstraße 32, 10623 iliyopo mjini Berlin nchini Ujerumani.
  SEHEMU YA TATU 2010Uhusiano  usio wa kawaida na wa karibu wa Zitto na viongozi wa ccm, serikali na  wale wa Usalama wa Taifa uliendelea kushamiri hasa kipindi cha kampeni  na kipindi cha uchaguzi mkuu wa 2010, Mfano tarehe 7/9/2010 siku ya  jumanne saa 11:21 asubuhi, Ahmed Msangi kupitia namba yake ya simu  ya  kiganjani +255784277884, alimpigia Zitto kupitia simu ya kiganjani  namba  +255754787550 waliongea mambo mengi japo kwa muda mfupi, na jambo kubwa lilikuwa ni “vipi kuna kipya ndani ya Chadema?” Zitto alijibu “yapo mengi lakini hayana impact kwa ccm” Msangi anajibu “Ok mr nikutakie siku njema”
  Lakini mawasiliano  ya simu yaliyochukua mda mrefu zaidi yalikuwa kati  ya Zitto na Zoka yaliyofanywa tarehe  10/9/2010 siku ya ijumaa saa 07:04  jioni na mazungumzo yao yalichukua dakika 71, Mazungumzo haya  yalifanywa wakati huo Zitto akiwa katika hoteli ya  Blue Pearl Ubungo,  Mr Zoka alitaka kujua mambo kadhaa kuelekea Uchaguzi mkuu, kwanza  alimuuliza “Mr Zitto umejiandaaje, una timu ya kazi?” Zitto akajibu “nipo  fiti kiakili na kimwili na nina timu ya kutosha, ondoa shaka juu yangu,  kama ipo hiyo hela tumeni tu Ujerumani kwenye ile akaunti, na ningeomba  kukutana na mwenyeti wenu (rais JK)” Zoka lijibu “hilo halina tabu nitalifikisha sehemu husika bwana Zitto”,
  Uchunguzi umebainisha kuwa akaunti namba 033B 33093101 Berliner Bank ya Germaniliendelea kuingizwa pesa kwa nyakati tofauti kutoka Tanzania kupitia NMB akaunti namba 2231604658  yenye jina la TSA ambayo ni moja ya akaunti za siri za TISS.
  Mfano: tarehe 29/9/2010 siku ya juma tano, kiasi cha dola 250,000 kiliingizwa kwenye akaunti hii  033B 33093101 ya Ujerumani, kutoka akaunti namba 2231604658 NMBTanzania,
  Tarehe 06/01/2011 siku ya alhamisi, kiasi cha dola 240,000 kiliingizwa kwenye akaunti hii  033B 33093101 ya Ujerumani, kutoka akaunti namba 2231604658 NMB Tanzania,
  Tarehe 21/6/2011 siku ya jumanne, kiasi cha dola 240,000 kiliingizwa kwenye akaunti hii  033B 33093101 ya Ujerumani, kutoka akaunti namba  2231604658 NMB Tanzania,
  Tarehe 09/12/2011 siku ya ijumaa, kiasi cha dola 255,000 kiliingizwa kwenye akaunti hii  033B 33093101 ya Ujerumani, kutoka akaunti namba 2231604658 NMB  Tanzania,
  Tarehe 02/02/2012 siku ya alhamisi, kiasi cha dola 260,000 kiliingizwa kwenye akaunti hii  033B 33093101 ya Ujerumani, kutoka akaunti namba 2231604658 NMB Tanzania,
  Tarehe 14/05/2012 siku ya jumatatu, kiasi cha dola 250,000 kiliingizwa kwenye akati hii  033B 33093101 ya Ujerumani, kutoka akaunti namba 2231604658 NMB Tanzania,
  Tarehe 13/12/2012 siku ya alhamisi, kiasi cha dola 255,000 kiliingizwa kwenye akati hii  033B 33093101 ya Ujerumani, kutoka akaunti namba 2231604658 NMB Tanzania,
  Uchunguzi umebainisha kuwa pesa zote zilimfikia Zitto kwa njia ya  Western Union akitumiwa dola 50,000 mpaka dola 20,000 kati ya wiki mbili  mpaka mwezi mmoja.
 SEHEMU NNE: MATUMIZI YA PESA HIYO 
  Uchunguzi  umezidi kubaini kuwa kuanzia mwanzoni mwa mwaka 2011, kutoka kuugwa  mkono na wanachadema kama mwanasiasa makini, Zitto aliamua kuunda kundi  la uasi ndani ya chama. Baadhi ya waliounda kundi hili ni: 
  Zitto Z. Kabwe +255754787550/756809535/713730256Juliana Shonza +255714669850/756359073
Habib Mchange +255762178678
Mtela Mwampamba +255718037358/755178927
Gwakisa Burton +255713316790
Eddo Makata +255757149043/655148758
Greyson Nyakarungu +255755023503
Adams Chagulani +255767137831
Deogratius Kisandu +255655025609
John M. Shibuda +255754465597
Kitila Mkumbo +255754301908
Exaud Mamuya +255767160685 Ben Saanane +255768078523
 Habib Mchange +255762178678
Mtela Mwampamba +255718037358/755178927
Gwakisa Burton +255713316790
Eddo Makata +255757149043/655148758
Greyson Nyakarungu +255755023503
Adams Chagulani +255767137831
Deogratius Kisandu +255655025609
John M. Shibuda +255754465597
Kitila Mkumbo +255754301908
Exaud Mamuya +255767160685 Ben Saanane +255768078523
 Timu ya upelelezi imebaini kuwa kundi hili lilikuwa linapokea fedha  kutoka kwa Zitto kwa njia ya M-Pesa, Uchunguzi umebaini kuwa kuanzia  2011 kundi hili lilianza kutumiwa pesa na Zitto kwa njia ya M-Pesa kila  mwezi, ambapo kila mwanakundi alikuwa akipokea kati ya 150,000/= mpaka  200,000/= , na ilipofika mwishoni mwa mwaka 2012 kundi hili sasa likawa  linalipwa karibu kwa wiki,
 Takwimu za  malipo ya wafuasi wa kundi hili kutoka kwa Zitto kwa mwaka 2012  zinaonyesha walilipwa kwa njia ya  M-PESA  No+255756809535 hii ni namba  mojawapo ya Zitto Zuberi Kabwe:
  Tarehe 25/2/2012 saa 10:09 asubuhi, Zitto Kabwe kupitia +255756809535 aliwatumia shilingi 150,000/= wafuasi wa kundi lake,  Juliana  Shonza +255756359073, Habib Mchange +255762178678, Mtela Mwampamba  +255755178927, Gwakisa  Burton +255713316790, Eddo Makata +255757149043,  Greyson Nyakarungu +255755023503, Deogratius Kisandu +255655025609,  Adams Chagulani +255767137831, Exaud Mamuya  +255767160685, Ben Saanane  +255768078523,
  Baada ya hapo saa 10:32 asubuhi hiyohiyo Zitto Kabwe kupitia namba yake ya simu+255756809535 aliwatumia shilingi 200,000/= Mkumbo Kitila +255754301908 na John Shibuda +255754465597
  Tarehe 26/3/2012 saa 11:12 asubuhi, Zitto Kabwe kupitia namba yake ya simu+255756809535 aliwatumia shilingi 150,000/= wafuasi wa kundi lake,  Juliana  Shonza +255756359073, Habib Mchange +255762178678, Mtela Mwampamba  +255755178927, Gwakisa  Burton +255713316790, Eddo Makata +255757149043,  Greyson Nyakarungu +255755023503, Deogratius Kisandu +255655025609,  Adams Chagulani +255767137831, Exaud Mamuya  +255767160685, Ben Saanane  +255768078523, Baada ya hapo saa 11:43 asubuhi hiyohiyo Zitto Kabwe  kupitia namba yake ya simu +255756809535 aliwatumia shilingi 200,000/= Mkumbo Kitila +255754301908 na John Shibuda +255754465597
  Tarehe 20/4/2012 saa 09:11 asubuhi, Zitto Kabwe kupitia namba yake ya simu+255756809535 aliwatumia shilingi 150,000/= wafuasi wa kundi lake,  Juliana  Shonza +255756359073, Habib Mchange +255762178678, Mtela Mwampamba  +255755178927, Gwakisa  Burton +255713316790, Eddo Makata +255757149043,  Greyson Nyakarungu +255755023503, Deogratius Kisandu +255655025609,  Adams Chagulani +255767137831, Exaud Mamuya  +255767160685, Ben Saanane  +255768078523, Baada ya hapo saa 10:30 asubuhi hiyohiyo Zitto Kabwe  kupitia namba yake ya simu +255756809535 aliwatumia shilingi 200,000/= Mkumbo Kitila +255754301908 na John Shibuda +255754465597
  Tarehe 22/5/2012 saa 10:15 asubuhi, Zitto Kabwe kupitia namba yake ya simu+255756809535 aliwatumia shilingi 150,000/= wafuasi wa kundi lake,  Juliana  Shonza +255756359073, Habib Mchange +255762178678, Mtela Mwampamba  +255755178927, Gwakisa  Burton +255713316790, Eddo Makata +255757149043,  Greyson Nyakarungu +255755023503, Deogratius Kisandu +255655025609,  Adams Chagulani +255767137831, Exaud Mamuya  +255767160685, Ben Saanane  +255768078523, Baada ya hapo saa 11:02 asubuhi hiyohiyo Zitto Kabwe  kupitia namba yake ya simu +255756809535 aliwatumia shilingi 200,000/= Mkumbo Kitila +255754301908 na John Shibuda +255754465597
  Tarehe 28/6/2012 saa 13:51 mchana,  John M. Shibuda kupitia namba yake ya simu+255754465597 aliwatumia shilingi 150,000/= wafuasi wenzake,  Habib  Mchange +255762178678, Mtela Mwampamba +255755178927, Gwakisa  Burton  +255713316790, Eddo Makata +255757149043, Deogratius Kisandu  +255655025609, Adams Chagulani +255767137831, Exaud Mamuya   +255767160685, Ben Saanane +255768078523, Greyson Nyakarungu  +255755023503, Juliana Shonza +255756359073,
 Baada ya  Shibuda kuwalipa 28/6/2012 saa 13:51 mchana,  sasa Zitto alibadili mfumo  wa malipo ukawa wa TIGO PESA +255713730256 lakini viwango vilevile na  mtiririko ulele.
  Tarehe 22/7/2012 saa 08:17 asubuhi, Zitto Kabwe kupitia namba yake ya simu +255713730256 aliwatumia shilingi 150,000/= wafuasi wa kundi lake,  Ben  Saanane +255768078523, Adams Chagulani +255767137831, Juliana Shonza  +255756359073, Habib Mchange +255762178678, Mtela Mwampamba  +255755178927, Gwakisa  Burton +255713316790, Eddo Makata +255757149043,  Greyson Nyakarungu +255755023503, Deogratius Kisandu +255655025609,  Exaud Mamuya  +255767160685, Kisha saa 09:38 asubuhi hiyohiyo Zitto  Kabwe kupitia namba yake ya simu  +255713730256 aliwatumia shilingi 200,000/= Mkumbo Kitila +255754301908 na John Shibuda +255754465597
  Tarehe 24/8/2012 saa 09:06 asubuhi, Zitto Kabwe kupitia ++255713730256  aliwatumia shilingi 150,000/= wafuasi wa kundi lake,  Ben  Saanane +255768078523, Adams Chagulani +255767137831,Juliana Shonza  +255756359073, Habib Mchange +255762178678, Mtela Mwampamba  +255755178927, Gwakisa  Burton +255713316790, Eddo Makata +255757149043,  Greyson Nyakarungu +255755023503, Deogratius Kisandu +255655025609,  Exaud Mamuya  +255767160685, Kisha saa 09:23 asubuhi hiyohiyo Zitto  Kabwe kupitia namba yake ya simu +255756809535 aliwatumia shilingi 200,000/= Mkumbo Kitila +255754301908 na John Shibuda +255754465597
  Tarehe 02/09/2012 saa 09:52 asubuhi, Zitto Kabwe kupitia  +255713730256 aliwatumia shilingi 150,000/= wafuasi wa kundi lake,  Ben  Saanane +255768078523, Adams Chagulani +255767137831, Juliana Shonza  +255756359073, Habib Mchange +255762178678, Mtela Mwampamba  +255755178927, Gwakisa  Burton +255713316790, Eddo Makata +255757149043,  Greyson Nyakarungu +255755023503, Deogratius Kisandu +255655025609,  Exaud Mamuya  +255767160685, Kisha saa 10:43 asubuhi hiyohiyo Zitto  Kabwe kupitia namba yake ya simu +255713730256  aliwatumia shilingi 200,000/= Mkumbo Kitila +255754301908 na John Shibuda +255754465597
  Tarehe 20/09/2012 saa 10:19 asubuhi, Zitto Kabwe kupitia  +255713730256 aliwatumia shilingi 150,000/= wafuasi wa kundi lake,  Ben  Saanane +255768078523, Adams Chagulani +255767137831, Juliana Shonza  +255756359073, Habib Mchange +255762178678, Mtela Mwampamba  +255755178927, Gwakisa  Burton +255713316790, Eddo Makata +255757149043,  Greyson Nyakarungu +255755023503, Deogratius Kisandu +255655025609,  Exaud Mamuya  +255767160685, Baada ya hapo saa 10:53 asubuhi hiyohiyo  Zitto Kabwe kupitia namba yake ya simu +255713730256  aliwatumia shilingi200,000/= Mkumbo Kitila +255754301908 na John Shibuda +255754465597
  Tarehe 24/10/2012 saa 11:18 asubuhi, Zitto Kabwe kupitia  +255713730256 aliwatumia shilingi 150,000/= wafuasi wa kundi lake,  Ben  Saanane +255768078523, Adams Chagulani +255767137831, Juliana Shonza  +255756359073, Habib Mchange +255762178678, Mtela Mwampamba  +255755178927, Gwakisa  Burton +255713316790, Eddo Makata +255757149043,  Greyson Nyakarungu +255755023503, Deogratius Kisandu +255655025609,  Exaud Mamuya  +255767160685, Kisha saa 11:52 asubuhi hiyohiyo Zitto  Kabwe kupitia namba yake ya simu  +255713730256 aliwatumia shilingi 200,000/= Mkumbo Kitila +255754301908 na John Shibuda +255754465597
  Tarehe 25/11/2012 saa 10:34 asubuhi, Zitto Kabwe kupitia +255713730256  aliwatumia shilingi 150,000/= wafuasi wa kundi lake,  Juliana  Shonza +255756359073, Habib Mchange +255762178678, Mtela Mwampamba  +255755178927, Gwakisa  Burton +255713316790, Eddo Makata +255757149043,  Greyson Nyakarungu +255755023503, Deogratius Kisandu +255655025609,  Adams Chagulani +255767137831, Exaud Mamuya  +255767160685, Baada ya  hapo saa 10:56 asubuhi hiyohiyo Zitto Kabwe kupitia namba yake ya simu+255713730256  aliwatumia shilingi 200,000/= Mkumbo Kitila +255754301908 na John Shibuda +255754465597
  Tarehe 29/11/2012 saa 12:12 mchana, Zitto Kabwe kupitia  +255713730256 aliwatumia shilingi 150,000/= wafuasi wa kundi lake,  Juliana  Shonza +255756359073, Habib Mchange +255762178678, Mtela Mwampamba  +255755178927, Gwakisa  Burton +255713316790, Eddo Makata +255757149043,  Greyson Nyakarungu +255755023503, Deogratius Kisandu +255655025609,  Adams Chagulani +255767137831, Exaud Mamuya  +255767160685, Baada ya  hapo saa 12:32 mchana huohuo Zitto Kabwe kupitia namba yake ya simu+255713730256  aliwatumia shilingi 200,000/= Mkumbo Kitila +255754301908 na John Shibuda +255754465597
  Kundi hili lilikuwa na mipango mingi sana, lakini lengo/shabaha/dhamira  ilikuwa ni moja tu nayo ni kukidhohofisha Chadema kwa manufaa ya ccm.  Uthibitisho wa lengo la kundi hili unabainishwa katika mawasiliano ya  simu kati ya Zitto na wanakikundi hicho,  katika ujumbe wa maandishi  (sms)  aliousambaza kwa wanakikundi hiki Zitto anasisitiza umakini ili  wasije kujulikana na Chama, vilevile anawasisitiza kukisajili kikundi  hiki ikiwa ni pamoja na kufungua akaunti ya benki ya kikundi hiki,
  Ujumbe mwingine aliousambaza tarehe 30/11/2012 saa 08:21 kwa wafuasi wa kundi hili kupitia namba +255713730256,  unasema, “Ni  lazima tukidhibiti hiki kibabu vile vile lazima tumng’oe Mbowe,  Tunadanganyana tu kuwa chadema itaingia ikulu, kwanza simamieni harakati  za kushinikiza kadi ya kibabu irudishwe ccm”.
  Timu ya kijasusi imejiridhidha kuwa Ben Saanane alikuwa  kwenye kundi hilo kwa kazi maalumu na ameisaidia sana timu hii ya  ujasusi kupata habari muhimu za  ndani za kundi hilo la uasi lililokuwa  limejipanga kwa ustadi likitumia mbinu za kuwagombanisha viongozi wa juu  wa chama hasa likilenga Mwenyekiti na Katibu mkuu, huku juhudi za  kumkwamisha mwenyekiti wa BAVICHA nazo zikipamba moto na kusukwa kwa  ustadi mkubwa, Kikundi hiki hakikuishia hapo tu kwani kilianzisha mradi  wa kuwatukana viongozi wa Chadema na familia zao, kuanzisha tuhuma za  uongo na kuzisambaza kwenye mitandao ya kijamii. Lilianzisha mradi wa  kuhubiri udini, ukanda na ukabila ndani ya chama kwa kutumia vyombo vya  habari na mitandao ya kijamii. Likaanzisha tena harakati za kumpindua  mwenyekiti kupitia kifupi cha jina PM7 (Pindua Mbowe 7) nk.
 MAPENDEKEZO YA HATUA ZA KUCHUKUABaada  ya kujiridhisha kuwa Zitto Zuber Kabwe Mbunge wa Chadema na Naibu  Katibu Mkuu wa Chadema, ameasi Chama na ameunda kundi ndani ya chama  linaloendesha vuguvugu la mapinduzi kwa viongozi halali wa chama kwa  ufadhiri wa chama tawala ccm, ikiwa ni kinyume cha katiba na itifaki za  chama,  Timu ya ujasusi inapendekeza yafuatayo: 
  Chama kijiridhishe bila ya kuacha chembe ya mashaka kutoka kwa wahusika  wa kikundi hiki ambao ni Zitto na wenzake, Ikiwa watakiri kuhusika,  Chama kiwaamuru wawaombe radhi wanachama.
  Naibu Katibu mkuu ndugu Zitto Kabwe na Makamu Mwenyekiti wa BAVICHA  ndugu Julina Shonza wapime wenyewe kama wanastahili kuendelea na nafasi  zao za uongozi ndani ya Chama.
  Ikiwa Chama kitaamua kuunda tume ya uchunguzi wa haya, wahusika wote  hasa wenye vyeo kama Zitto Kabwe na Juliana Shonza wawekwe pembeni na  shughuli za Chama ili kupisha uchunguzi huru.
  Chama kiwavue uanachama Zitto Kabwe na kundi lake lote bila kusita, hii  inatokana na mikakati ya kukiangamiza chama inayoendelea ndani ya CCM  kwa ushirikiano wa Zitto Kabwe na viongozi waandamizi wa ccm.
  Kuelekea 2015, Idara ya ujasusi ya chama iongezewe nguvu na mafunzo,  ikiwezekana kiundwe kikosi maalumu nje ya timu ya kijasusi iliyopo sasa  na kipewe mafunzo na vitendea kazi vya kutosha kwaajili ya ulinzi wa  chama na viongozi wake.
  Chama kianzishe utaratibu wa semina au mafunzo ya kipindi kifupi na kati  kwa makada wake jinsi ya utumiaji wa mitandao ya kijamii.
  Kiundwe kitengo cha propaganda za kisiasa chenye watu weledi wa mambo na  masuala mbalimbali na kipewe uwezo ili kukabiliana na propanda za chama  tawala na vyama vingine.
  Chama kizidi kuchukuahatua stahiki za kimaamuzi dhidi ya viongozi au  wanachama wanao dhoofisha harakati za mabadiliko kuelekea 2015 na baada  ya 2015
 Mwisho tunawashukuru baadhi ya maafisa wa kijasusi wa mjini Berlin  Ujerumani waliosaidia kupata baadhi ya taarifa muhimu kutoka Ujerumani.
CREDIT: KILEWO BLOG
CREDIT: KILEWO BLOG
 
 

 
 

 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
Fitna na uzushi yy zito apokee mamilioni wenzake awape malaki
ReplyDeleteacheni fitna
TAKE CARE CHADEMA YO KILLING YO SELVES
ReplyDeleteSi kweli
ReplyDeleteDuu hii noma ndo kuna wakati zito alikuwa anamili magari na nyumba expensive kumbe habari ndoo hii..anajifanya apokei bungeni sababu anapokea kwingine...naona uko alipo jasho linamtoka mpaka kwenye chupi na izi taarifa
ReplyDeleteDuu hii noma ndo kuna wakati zito alikuwa anamili magari na nyumba expensive kumbe habari ndoo hii..anajifanya apokei bungeni sababu anapokea kwingine...naona uko alipo jasho linamtoka mpaka kwenye chupi na izi taarifa
ReplyDeleteCHADEMA WANASUBRI NINI KUMTO A ZITTO KWENYE CHAMA AMBACHO VIJANA NA TAIF WANAKISAPOTI NAUKATAA USALITI WA CCM THEN MTU TUU ANASALITI AONDOLEWE NA AKAJIUNGE RASMI NA CCM IWE WAZI.KABWE MNAFIKI MKUBWA WEWE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteHii ndo bongo politics, yawezekana kweli maana Harakati za Zitto kwa sasa sizielewi kabisa
ReplyDeleteTunasubiri kauli ya Zitto na kama ni kweli kwanini mwandishi wa taatifa hii asisaini? Anaogopa nini?
ReplyDeleteNIKIUONA USHAHIDI WA PICHA NA VIDEO AU SAUTI SAMBAMBA NA MAELEZO NDIO NITAAMINI..... UCHONGANISHI HUU NI WA KISIASA TU..! HIVI NDIVYO AFRICA TUNAVYOKWENDA SIKU ZOTE.... SIASA SI MCHEZO.
ReplyDeleteChadema asanteni mmekomaa na mna stahili nchi mtoeni kafara huyo zitto hatufai wanyonge
ReplyDeleteHii taarifa ni nyepesi sana na haina uhalisia wowote.
ReplyDeleteHakuna evidence
ReplyDeleteJamani tunaelekea wapi
ReplyDelete