HUU NDIO USHAHIDI ULIOWEKWA MTANDAONI KUMHUSU ZITTO, KUMBE ALIKUWA ANAPOKEA POSHO AFU ANAZUGA!!!!
Kwa mjibu wa stakabadhi hii...zitto
alikuwa napokea sitting allowance hadi 2011,kinyume nan alivyo mjibu
muheshimiwa lema kwamba ameacha kupokea sitting allowance tangu 2009
hata zile za vikao vya madiwani...tujadili.
Chanzo: Jamii Forums
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII