HALI YAZIDI KUWA TETE BUNGENI, SOMA KILICHOJIRI HIVI PUNDE
WABUNGE
wamewataka Waziri Mkuu Mizengo Pinda, Waziri wa Maliasili na Utalii,
Khamisi Kagasheki, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi
na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Shamsi Vuai Nahodha
kujiuzulu kutokana na maovu yaliyofanywa wakati wa Operesheni Tokomeza
wakati wakijadili ripoti iliyotolewa na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya
Ardhi, Maliasili na Mazingira, James Lembeli.
Baadhi ya wabunge waliochangia kuhusu kujiuzulu kwa mawaziri hao ni Mbunge wa Mwibara (CCM) Kangi Lugola, Mbunge wa Iringa Mjini (Chadema) Mchungaji Peter Msigwa na Mbunge wa Longido (CCM) Lekule Laizer.

0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII