BREAKING NEWS : MH. KAGASHEKI ATANGAZA KUJIUZULU,....SOMA HABARI KAMILI HAPA


Mheshimiwa Balozi Khamis Kagasheki aliyekuwa waziri wa mali asili na utalii atangaza kujiuzuru muda mfupi uliopita baada ya taarifa ya kamati kumwingiza kwenye orodha ya mawaziri ambao wanatakiwa kujiuzuru kutokana na uhalifu uliofanywa katika operesheni TOKOMEZA ambapo raia waliuawa, kunyanyaswa kijinsia na kudhalilishwa kwa hali ya juu.....taarifa zaidi zitafata usiache kutembelea mtandao wetu
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII

Copyright © 2013. ArtAfropixels Media.com - All Rights Reserved
Customized by: IT XPERTTZ ONE | Powered by: BS
Designed by: Tilabs