"MIMI KUFANYA COLLABO NA DIAMOND NI SAWA NA KUDEKI BAHARI" ALIKIBA AFUNGUKA. SOMA HAPA
 Unategemea
 kusikia collabo ya Diamond Platnumz, Ali Kiba na Ommy Dimpoz? Kama una 
ndoto hiyo, basi iondoe kabisa kwasababu kwa mujibu wa Ali Kiba, kuwepo 
kwa collabo hiyo ni sawa na kudeki bahari, haiwezekani.

Diamond na Ali Kiba ni paka na panya na kamwe mafahari hawa wawili hawawezi kukaa kwenye zizi moja.
 
0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII