PICHA ZA WASANII WA KIKE AMBAZO ZILILETA GUMZO KATIKA MITANDAO YA KIJAMII
Siku hizi mitandao ya kijamii imeshika kasi kutokana ukuaji wa
teknolojia na mambo ya utandawazi. Mitandao kama facebook, twitter na
Instagram ambao unahusisha mambo ya picha imezidi kujizolea umaarufu
sana kwa sasa.Watu wa kila aina wamekuwa ni watumiaji wakiwemo wanafunzi
na hata watu wazima.
Leo Mamu Africa blog inakupa nafasi ya kucheki baadhi ya picha za watu maarufu zilizozua utata na kuibua mjadala mkubwa katika mitandfao mbalimbali.
Leo Mamu Africa blog inakupa nafasi ya kucheki baadhi ya picha za watu maarufu zilizozua utata na kuibua mjadala mkubwa katika mitandfao mbalimbali.
Mrembo kutoka Kenya ambaye alishiriki BBA The chase akiwakilisha Kenya lakini aliwahi kutoka,Ni kawaida kabisa kwa Huddah kutupia picha kama hizi Instagram au Twitter. |
Jack wa Chuzi hizi picha zilisambaa sana ila sijui alipiga kwa malengo gani hasa |
Avril mwanamuziki kutoka nchini Kenya.Hii picha ikimuonesha akiwa na mwanamke mwenzake akitomaswa kimahaba |
Rayuu hii picha yake ilileta utata sana alipiga akionyesha tattoo zake |
Wema Sepetu hii ilikuwa kwenye show ya Diamond alipopanda stejini na kivazi kuacha mambo hadharani. |
Lulu Semagongo maarufu kama Aunt Lulu |
Aunt Ezekiel |
0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII