BREAKING NEWS: CCM YASHINDA UMEYA JIJI LA MWANZA
BongoNewz
Mgombea wa kiti cha umeya katika Halmashauri ya jiji la
Mwanza kupitia CCM na diwani wa kata ya Mkolani Ndugu Stanslaus Mabula,
ameshinda kiti cha umeya wa Jiji la Mwanza kwa jumla ya kura 11 dhidi ya mgombea wa
CHADEMA diwani wa kata ya Mahina Ndg Charles Chinchibera aliyepata kura
8. Uchaguzi huo ulikuwa na mkali sana kutokana na kila chama kuwa na nguvu.... Kazi njema Bwana Stanslaus Mabula
Bwana Stanslaus Mabula (Meya Mpya wa Jiji la Mwanza) |
0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII