BREAKING NEWS: Waandishi Wapigwa Stop Kufanya Maandamano Nchi Nzima
Waandishi wapigwa stop kufanya maandamano nchini nzima.Polisi wadai hawakufuta utaratibu wa kuomba kibali cha kufanya maandamano. Hiyo imekuja baada ya waandishi kutaka kufanya maandamano nchi nzima kufuatia kile kilichompata mwandishi mwenzao Daud Mwangosi. Kwa habari zaidi ungana nasi baadaye kidogo
0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII