CCM yaamua Kutumia WAGANGA WA KIENYEJI Kupunguza Makali ya M4C Mwanza
BongoNewz
Mwandishi Kutoka Mwanza
Ikionekana dhahili nguvu M4C ni tishio kwa CCM,chama hiki kigongwe nchini baada kuendelea kupoteza mvuto kwa kasi kimeamua kuwatumia waganga wa kiayeji(SANGOMA) katika harakati zake za kujaribu kukabiliana na M4C.Katika hali isiyokuwa ya kawaida nje kidogo ya jiji la Mwanza katika kitongoji cha Buhongwa,kumekuwa na kusunyiko la waganga wa kienyeji(SANGOMA) takribani kumi na tatu nyumbani kwa mzee Shikwabi,wenyeji wa maeneo hayo mtaa wa Ntale wanadokeza kwamba..."hawa waganga wamekuwa hapa kwa siku saba sasa kwa huyo kada wa siku nyingi wa chama mzee Shikwabi...wamekuwa hapa kwa mwaliko wa chama cha mapinduzi(CCM) mkoa kwaajili ya shuguli maalum ya kukisafisha chama,akiendelea kudokeza huyo mwenyeji wa mtaa huo kunakofanyika tambiko hilo anasema...ndugu yangu watu wa mtaa huu tunajionea vituko,yaana mambo ya kichawi yanafanyika mchana kweupe...hiyo nyumba ya huyo mzee Shikwabi imekuwa kama ofisi ya chama,wanaingia na kutoka viongozi wa chama asubui na jioni,mwenyekiti wa chama mkoa,katibu wa chama mkoa na viongozi wengine wengi tu wa hiki chama...hii sio mara ya kwanza hawa waganga kuletwa hapa,mara ya kwanza walikuja wakati ule wa sherehe za CCM,walivyo kuja wakati ule hawakufanya mambo kama wanayofanya sasa,nakumbuka walichofanya siku tatu kabla ya hizo sherehe walichinja ng'ombe watatu weusi,na walikesha wakiimba na kucheza ngoma hadi siku ya serehe yenyewe iliyofanyika katika uwanja wa mpira pale Kirumba.
Haya jamani hayo kwa kifupi ndo yanayoendelea kufanywa na viogozi wa CCM kwaminajiri ya kujiandaa na ujio wa M4C hapo mkoani. TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Mwandishi Kutoka Mwanza
Ikionekana dhahili nguvu M4C ni tishio kwa CCM,chama hiki kigongwe nchini baada kuendelea kupoteza mvuto kwa kasi kimeamua kuwatumia waganga wa kiayeji(SANGOMA) katika harakati zake za kujaribu kukabiliana na M4C.Katika hali isiyokuwa ya kawaida nje kidogo ya jiji la Mwanza katika kitongoji cha Buhongwa,kumekuwa na kusunyiko la waganga wa kienyeji(SANGOMA) takribani kumi na tatu nyumbani kwa mzee Shikwabi,wenyeji wa maeneo hayo mtaa wa Ntale wanadokeza kwamba..."hawa waganga wamekuwa hapa kwa siku saba sasa kwa huyo kada wa siku nyingi wa chama mzee Shikwabi...wamekuwa hapa kwa mwaliko wa chama cha mapinduzi(CCM) mkoa kwaajili ya shuguli maalum ya kukisafisha chama,akiendelea kudokeza huyo mwenyeji wa mtaa huo kunakofanyika tambiko hilo anasema...ndugu yangu watu wa mtaa huu tunajionea vituko,yaana mambo ya kichawi yanafanyika mchana kweupe...hiyo nyumba ya huyo mzee Shikwabi imekuwa kama ofisi ya chama,wanaingia na kutoka viongozi wa chama asubui na jioni,mwenyekiti wa chama mkoa,katibu wa chama mkoa na viongozi wengine wengi tu wa hiki chama...hii sio mara ya kwanza hawa waganga kuletwa hapa,mara ya kwanza walikuja wakati ule wa sherehe za CCM,walivyo kuja wakati ule hawakufanya mambo kama wanayofanya sasa,nakumbuka walichofanya siku tatu kabla ya hizo sherehe walichinja ng'ombe watatu weusi,na walikesha wakiimba na kucheza ngoma hadi siku ya serehe yenyewe iliyofanyika katika uwanja wa mpira pale Kirumba.
Haya jamani hayo kwa kifupi ndo yanayoendelea kufanywa na viogozi wa CCM kwaminajiri ya kujiandaa na ujio wa M4C hapo mkoani.
0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII