HAYA NDIO MABASI YA CLUB ZETU KUBWA
BongoNewz
Hili ni jambo la kutia moyo sana tunavyoona vilabu vyetu vikipiga hatua za maendeleo, walianza Azam FC na sasa ni Simba na Yanga. Haya ndo mabasi yatakayokuwa yakitumiwa na vilabu hivi vikubwa hapa nchini katika mishemishe zao za michezo, changamoto imebaki kwenye Viwanja, Simba na Yanga igeni pia mfano kwa Wadogo zenu Azam FC kwa kujenga viwanja bora....
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII