HUYU NDO KOCHA MPYA WA YANGA ALIYERITHI MIKOBA YA SAINTFIET

Akisaini Mkataba Jangwani
Kocha mpya wa Yanga Ernstus Brands akisaini mkataba wa mwaka mmoja kwa ajili ya kuiona klabu ya Yanga,kushoto ni makamu Mwenyekiti wa Yanga Clement Sanga akimpa maelekezo.Kabla ya kujiunga na Yanga, kocha huyo alikuwa akiifundisha APR ya Rwanda.
Makamu Mwenyekiti wa Yanga Clement Sanga pamoja na kocha mpya wa Yanga wakisikiliza maswali kutokwa kwa waansishi wa habari ambao walihudhuria tukio la Yanga kumtambulisha kocha huyo mpya ambaye atarithi mikoba ya Mbelgiji, Tom Saintfiet ambaye alitimuliwa hivi karibuni.
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII

Copyright © 2013. ArtAfropixels Media.com - All Rights Reserved
Customized by: IT XPERTTZ ONE | Powered by: BS
Designed by: Tilabs