Joshua Nasari ahamasisha wananchi kugomea Mwenge wa Uhuru Arumeru
BongoNewz
Mbunge wa Arumeru Mashariki kupitia chama cha CHADEMA amehamashisha wananchi wa Jimbo lake kugomea shughuri zote za mwenge wa Uhuru ktk Jimbo lake kwani hauna tija kwa wananchi wa jimbo hilo na hauna maana yoyote. Na kahamasisha wananchi wake kuendelea na shughuri zao za kila siku.
Hii inahashiria nini kwa nchi? Hapa najiuliza nashindwa kupaja majibu yenye tija na umuhimu wa shughuri husika. Mh. Kayanza Peter Pinda yupo katika ziara ya nchi bila shaka nchi nzima katika kukagua, kuhimiza na kufungua miradi mbalimbali ya kimaendeleo ona imefika wakati hadi mama Tunu Pinda anauliza swali kwa mmewe anayetembea nae kote ii hari kwamba kama hawaonani. Nauliza mwenge unauzunguka na Pinda anavyozunguka kuna tofauti gani???? TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Mbunge wa Arumeru Mashariki kupitia chama cha CHADEMA amehamashisha wananchi wa Jimbo lake kugomea shughuri zote za mwenge wa Uhuru ktk Jimbo lake kwani hauna tija kwa wananchi wa jimbo hilo na hauna maana yoyote. Na kahamasisha wananchi wake kuendelea na shughuri zao za kila siku.
Hii inahashiria nini kwa nchi? Hapa najiuliza nashindwa kupaja majibu yenye tija na umuhimu wa shughuri husika. Mh. Kayanza Peter Pinda yupo katika ziara ya nchi bila shaka nchi nzima katika kukagua, kuhimiza na kufungua miradi mbalimbali ya kimaendeleo ona imefika wakati hadi mama Tunu Pinda anauliza swali kwa mmewe anayetembea nae kote ii hari kwamba kama hawaonani. Nauliza mwenge unauzunguka na Pinda anavyozunguka kuna tofauti gani????
0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII