Rihana awadhihirishia Dunia kuwa ye ni Illuminati...
Picha aloweka msanii mkaliwa Marekani, RIHANA katika page yake ya Facebook imezusha utata wa imani yake kuwa huenda ni mfuasi wa Imani ya Kishetani ya Illuminati...Katika picha hiyo ambayo ilikuwa gumzo, Rihanna aliandika maneno yafuatayo ambayo yalidhihirisha kuwa huenda ni mfuasi wa dini hiyo. Maneno aliyoweka yalikuwa yanasomeka kama ifuatavyo "Goddess Isis- Complete Woman - Model for future generations- #GRANGRANDOLLY" - always in and on my heart #1love
Baada ya kutupia picha hiyo watu walicomment sana huku wengi wao wakionyesha kumlaumu kwa kuwa mfuasi wa imani hiyo yenye utata mkubwa. Baadhi tu ya comments zilisomeka kama ifuatavyo:
Mo Yahia: Moe Suck on dat u devil worshippin whore -,-
Fil Fuentes: Scary ....
Ladii Victorious: Omg whyyyy Rihanna :( Isis was a whore smh this Illuminati bullshit!!! I'm tooo disappointed!
Alan Bywaters: blatant illuminati symbolism
Elon Angel C. :Damn she's a trooper I know that shit Hurt!
Ali Emmark: satanic devil backsliding pple dont support it
Hizi baadhi tu ya Comments zilizofuata baada ya mnyange huyo kutupia picha hiyo Facebook, Mmmmmmmmmmmmmmm..........

0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII