RPC Kamuhanda na RPC Shilogile wakalia Wako Kikaangoni!!


Kwa nguvu na shinikizo la jana la CHADEMA na maandamano ya waandishi pale jangwani yaliyopelekea Kumu_ignore waziri Nchimbi ambaye naye yupo kikaangoni ni wazi sasa vibarua vya makamanda wa polisi wa mikoa ya Iringa na Morogoro yenye kashfa ya polisi kuua 'ITAOTA NYASI MUDA WOWOTE'.Taarifa za ndani zinadai kuwa makamanda hao wameachiwa wapime wenyewe bila shinikizo ila wakiwa wagumu watang'olewa na hii ni kutokana na Agizo 'lenye moto' la chadema hapo jana.
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII

Copyright © 2013. ArtAfropixels Media.com - All Rights Reserved
Customized by: IT XPERTTZ ONE | Powered by: BS
Designed by: Tilabs