HIVI NDIVYO JUKWAA LA FIESTA LITAKAVYOKUWA JUMAMOSI LEADERS
Hili ndilo jukwaa la Serengeti
Fiesta 2012 ambalo mwanamuziki wa Hiphop Rick Ross “The Boss”kutoka
kutoka nchini Marekani ataongoza wasanii mbalimbali wa nyumbani kutoa
burudani katika tamasha hilo litakalofanyika kwenye viwanja wa Leaders
jijini Dar es salaam Oktoba 6 Jumamosi ijayo.
0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII