HIZI NDO PICHA ZA MATUKIO YALIYOTOKEA MBAGALA JANA....

BONGONEWZ BLOG

 
Askari wa kuturiza ghasia wakijitahidi kuwakabili waislam wenye hasira kali walioanzisha furugu maeneo ya Mbagala kufuatia kudhalilishwa kwa dini yao baada ya mtoto wa kidato cha kwanza kukojolea Quran tukufu wakati walipokua ktika mabishano na mwenzake.

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII

Copyright © 2013. ArtAfropixels Media.com - All Rights Reserved
Customized by: IT XPERTTZ ONE | Powered by: BS
Designed by: Tilabs