SHILOLE, SAJENTI WAZICHAPA CHOONI
BONGONEWZ BLOG
WASANII wa filamu za Kibongo, Zuwena Muhammed ‘Shilole’ na Husna Idd
‘Sajent’ hivi karibuni walizinguana na kufikia hatua ya kukwidana katika
choo kilichopo ndani ya viwanja vya Leaders Club jijini Dar. Imeelezwa kuwa, kisa cha wawili
hao kukwidana kilianzia kwenye kikao cha kuchagua uongozi mpya wa Bongo
Movies.
Katika kujua ukweli wa tukio hilo, wahusika walitafytwa ambapo Shilole alipopatikana alisema: “Zile zilikuwa ni tofauti za kawaida tu kama mnavyoweza kutofautiana nyie kazini, kwa sasa tuko sawa.”

Zuwena Muhammed ‘Shilole’.
“Katika kikao hicho, walianza kujadili mwenendo wa wasanii ambapo
ilifika wakati Shilole na Sajenti walitofautiana, Shilole alipokwenda
chooni, Sajenti alimfuata na huko ndiko kuliibuka timbwili,” kilidai
chanzo hicho.Katika kujua ukweli wa tukio hilo, wahusika walitafytwa ambapo Shilole alipopatikana alisema: “Zile zilikuwa ni tofauti za kawaida tu kama mnavyoweza kutofautiana nyie kazini, kwa sasa tuko sawa.”
Husna Idd ‘Sajent’.

0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII