Sinta awakashifu Wasanii Wenzie kwa kuwaita "Ma Mbu"

BongoNewz
Katika hali ambayo haikutarajiwa na wengi, msanii wa Bongo movie, Christine Manongi, almaarufu kwa Jina la Sinta amewatolea uvivu wasanii wa Bongo na kusema wasanii wengi ambao hawajasoma wanakakaa tu na kuonekana onekana ovyo kama ma mbu, akiwaasa wasanii waige mfano wake na kwa baadhi ya wasanii aliowataja kuwa ni wasomi kama vile Jokate (Chanel O), A.Y, Nargis Mohamed (CRDB) na MwanaFA.....Hebu tiririka nae hapa nanukuu alichokiandika....


"Heeeeee wasanii na wasomi hapa Tanzania,hata wanavyofikiria na wanavyo appear ktk public utajua kichwani zimo

hebu fikiria wasanii wengine kila sehemu wapo kama mosquitoes.

unakutana nao kila sehemu yamejianika mwaaah,

wasanii jueni thamani yenu acha watu wawatafute sio kuwaona kila sehemu thamani yenu inashuka

kuweni kama hao hapo juu wanatoka na formula."

Maoni YAKO Please.....
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII

Copyright © 2013. ArtAfropixels Media.com - All Rights Reserved
Customized by: IT XPERTTZ ONE | Powered by: BS
Designed by: Tilabs