VURUGU ZAIBUKA UCHAGUZI UWT DODOMA.....SOMA ZAIDI KILICHOTOKEA HAPA

BONGONEWZ BLOG

 Vurugu kubwa imezuka ndani ya ukumbi  katika uchaguzi Wa mwemyekiti UWT CCM ambayo Sophia Simba ameibuka mshindi. inadaiwa kwamba chanzo cha vurugu ni pale Sophia Simba alipomsemea mbovu Shyrose Banzi baada ya Sophia kumfuata Shyrose alipokuwa amkaa na kumpa mipasho! Hii ilitokana na Shyrose kumuuliza swali Sophia Simba ni Maendeleo gani amewaletea wanawake katika kipindi chake cha miaka minne.












TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII

Copyright © 2013. ArtAfropixels Media.com - All Rights Reserved
Customized by: IT XPERTTZ ONE | Powered by: BS
Designed by: Tilabs