Usiku wa jana katika mitandano mbalimbali kulikuwa na taarifa kwamba mwanadada
Ray C amefariki
wakati habari si za kweli ,sasa katika kuhakikisha taarifa hii tuliweza kupiga story na mama yake mzazi.Ebu msikilize hapo
mama yake mzazi akifunguka kuhusiana na taarifa
hiyo.
0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII