BAADA YA HUKUMU YA KAJALA, WEMA ATOA MILIONI 13 ZILIZOTAKIWA KUMTOA KAJALA
Baada ya Mahakama Kumuhukumu Kajala kwenda Jela Miaka Minane ama faini
ya Shiling Milion 13, Baada ya hukumu hiyo Msanii mwenzake Ajulikanae
kama Wema Sepetu Amekimbia Bank ili kutoa hizo hela za kumlipia Fine
Kajala aweze kuachiwa Huru ..Big Wema Sepetu ...
Habari hii haijawa comfirmed, lakini tutawajulisha baada ya Wema mwenyewe kuongea.
Source : Udakuspecially.com
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Habari hii haijawa comfirmed, lakini tutawajulisha baada ya Wema mwenyewe kuongea.
Source : Udakuspecially.com
0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII