HII NDIO RATIBA YA ROBO FAINALI UEFA...BOFYA HAPA UJUE NANI ATACHEZA NA NANI
Baada ya hatua ya mtoano sasa ile ligi ngumu na maarufu duniani, UEFA Champions League ndio imefikia hatua ya robo fainali, na leo ndio UEFA wametoa ratiba hiyo iliyokuwa ikisubiriwa na wapenzi wa soka duniani kote ili kujua nani ataangukia kwa nani, lakini huruma kubwa ni kwa ile timu ambayo imeangukia kwa miamba wawili wa Hispania, Madrid na Barcelona. Nahisi hawa ndio watakutana fainali hapo Webley
0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII