KAMA HAUKUWAHI KUONA PICHA ZA JOKA KUBWA KUSHINDA WOTE DUNIANI LILILOKAMATWA HUKO MISRI, BOFYA HAPA
Hizi ndizo picha za joka la ajabu ambalo aliuawa timu ya wataalamu na wanasayansi huko Misri, Joka hilo lilipatikana katika bahari ya Sham (Red sea) na tayari inasemekana joka hilo lilikuwa limeshaua watu 320 ambao ni watalii pamoja na waogeleaji wengine 125 wanasemekana wameshauawa na joka hili.
Wanasayansi ambao walifanikisha kukamatwa kwa joka hilo na kuuawa ni hawa, D. Karim Mohammed, d. Mohammed Sharif, d. Mr. Sea, d. Mahmoud students, d. Mazen Al-Rashidi. na wazamiaji ni Ahmed leader, Abdullah Karim, fisherman Knight, Wael Mohammed, Mohammed Haridi, spears Alvajuma, Mahmoud Shafik, a full-Sharif. Kwa sasa joka hilo limehifadhiwa katika makumbusho ya wanyama ya Sharm El Sheikh international
Hili joka ni zaidi ya anaconda, kama unavyoona picha hapo juu.....limebebwa na semi trailer lakini bado haikutosha......Duuuuh
0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII